Staa wa muziki kutoka nchini Marekani Nick Minaj atangaza ujio wa ngoma na Lil Wayne ,kupitia ukurasa wake wa Instagram Nick aliweza kukiweka kipande cha Sekunde 22 za kusikiliza wimbo bila kubainisha jina lake.
Mpaka time hii, Wayne na Nicki wamehusika pamoja kwenye ngoma kama: Only, No Frauds, High School, Changed it, I Get Crazy .
0 comments:
Post a Comment