Wednesday 6 June 2018

Floyd Mayweather ndio mwanamichezo mwenye uwezo mkubwa wa kifedha Duniani



Mwanamasumbwi raia wa Marekani, Floyd Mayweather ameongoza katika orodha ya wanamichezo walioingiza fedha nyingi kuanzia Juni 01, 2017 mpaka Juni 01, 2018

Kwa mujibu wa jarida la Forbes, mcheza soka Lionel Messi wa klabu ya Barcelona ameshika nafasi ya 2 akifuatiwa na mcheza soka mwenzake Cristiano Ronaldo anayechezea klabu ya Real Madrid akiwa

Na hii ndiyo  orodha kamili ya wanamichezo 10 walioingiza kipato kikubwa kwa muda huo;

1. Floyd Mayweather - $285m (Tsh. Bilioni 649)
2. Lionel Messi - $111m (Tsh. Bilioni 253)
3. Cristiano Ronaldo - $108m (Tsh. Bilioni 246)
4. Conor McGregor - $99m (Tsh. Bilioni 226)
5. Neymar - $90m (Tsh. Bilioni 205)
6. LeBron James - $85,5m (Tsh. Bilioni 194)
7. Roger Federer - $77.2m (Tsh. Bilioni 176)
8. Stephen Curry - $76.9m (Tsh. Bilioni 175)
9. Matt Ryan - $67.3m (Tsh. Bilioni 153)
10. Matthew Stafford - $59.5m (Tsh. Bilioni 136)

0 comments:

Post a Comment