Saturday 9 June 2018

Golden state Worriors mabingwa ligi ya kikapu Marekani (NBA 2018)



Timu ya Kikapu ya Golden State Warriors wametawazwa kuwa washindi wa fainali za NBA kW kuweza kupata jumla ya vikapu 108-85 dhidi ya Cleveland Cavs.

Golden ambao hawajapoteza hata mchezo mmoja katika michezo minne waliyocheza wakiwa nyumbani na ugenini.

Taji la mchezaji bora 'MVP' limenyakuliwa na mchezaji kinara wa Golden State Worrior Kevin Durant.

Imeibuka na ushindi wa vikapu 110-102 dhidi ya Cleveland Cavs katika 'game3'

0 comments:

Post a Comment