Saturday 9 June 2018

Selena Gomez kuuza mjengo wake Texas


Mwanamuziki wa Pop kutoka nchini Marekani, Selena Gomez ametangaza kuuza nyumba yake dola million 3 sawa na bilion 5 za kitanzania.

Selena ambaye ameonekana kuchukua maamuzi ya haraka kutaka kuuza nyumba yake hiyo aliyoinunua mwishoni mwa mwaka Jana jijini Texas.

Hatahivyo sio Mara ya kwanza kwa msanii huyo kununua na kuuza kwani mwaka 2014 alinunua nyumba na kuiuza mwaka 2016.

0 comments:

Post a Comment