Wednesday 6 June 2018

Mastaa waachana kwa wiki moja



Mtoto wa staa wa muziki nchini Marekani Lionel Richie (Sofia Richie) amerudiana na mpenzi Scott Disick baada ya kuachana kwa takribani wiki moja.

Mapema Jana wawili hao walionekana kuwa pamoja katika mgahawa jijini Los Angeles.

Inasemekana kuwa Lionel Richie baba wa binti ndiye aliyetaka wawili hao kuachana kutokana na kuchukizwa na tabia za mkwe wake Scott Disick.

0 comments:

Post a Comment