Wednesday 6 June 2018

Mwigizaji Tyrese amlilia mtoto Mahakamani



Staa wa Filamu kutoka nchini Marekani Tyrese Gibson ameamua kuchukua maamuzi magumu ya kwenda mahakamani ili kuomba kupewa mtoto wake Shayla aweze kumlea.

Mwaka 2017 Tyrese alifikishana mahakamani na aliyekuwa mke wake aitwaye Norma, kwaajili ya matunzo ya binti yao anayeishi na mama yake jijini Los Angeles.

Wawili hao waliachana mwaka 2009 kwasasa anaishi na Samantha.

0 comments:

Post a Comment