Wednesday 6 June 2018

Mchungaji auwawa na mamba akia anabatiza



Mchungaji wa Kanisa la Waluther nchini Ethiopia, Docho Eshete ameuawa kwa kushambuliwa na Mamba

Mchungaji huyo amekumbwa na mauti wakati akiwabatiza waumini wapya wa kanisa lake

Mchungaji, Docho alikuwa ameanza kumbatiza muumini wa kwanza kati ya 80 waliokuwa wakisubiri ubatizo

Tukio hilo limetokea kando ya Ziwa Ayab

0 comments:

Post a Comment