Friday 8 June 2018

P Diddy aunga mkono uamuzi wa Drake kutotoa diss Track kwa Kanye


Rapa maarufu P Diddy ametokea kuunga mkono Uamuzi wa J. Prince kumzuia Drake kuiachia Diss track yake ya Pili kwa Pusha T na Kanye.

Akizungumza katika kipindi cha BigBoyTV, Diddy alitolea mfano kipindi 2Pac ameipiga ngome ya The Late Notorious BIG kwa dude lake HitEmUp, Diddy alimpigia BIG na kumwambia asijibu kitu kwa kuwa ingepelekea hali kuwa mbaya, na hata zaidi mtu kuumizwa.

Diddy amekazia pia kuwa HitEmUp ilimuumiza sana na iliivuruga kiakili ngome yao ya East Coast.

0 comments:

Post a Comment