Friday 8 June 2018

Zari apitisha Harambee mtandaoni



Baby mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady awashukuru mashabiki kwa kufikia followers million 4 Katika ukurasa wake wa Instagram. Pia Zari hakuishia hapo aliwaomba mashabiki wake kumchangia dollar 1 kwa ajiri ya kujenga clinic Dar.

"Wapendwa wangu Sina cha Kuwalipa Zaidi ya kusema ASANTENI sana kwa 4M followers.
Ninyi Ni Ma Ndugu kwangu, Mmekua Nami Bega Kwa Bega Kwenye Shida na Raha. Sasa Mnichiangieni $1 kila mtu tujenge clinic ya wanawake sehemu yoyote dar, Najua tukiipata Baba Magifuli atatupa kiwanja....😁😁 #JustSaying
PENDA SANA NYINYI.❤
THANK YOU SO MUCH FOR 4M.
LOVE YOU ALL🌹"

0 comments:

Post a Comment