Friday 8 June 2018

'Damn' ya Kendrick Lamar yafikia mauzo ya Gold



Fahamu kwamba nyimbo zote 14 za Album ya "Damn" ya Kendrick Lamar zimefikia mauzo ya Gold na zingine kuvuka mpaka platinum kwa mujibu wa #RIAA

Nyimbo zilizofikia mauzo ya platinum ni Humble, DNA, Loyalty, Love na Element.


0 comments:

Post a Comment