Mawaziri nchini humo wamehudhuria kikao cha Baraza la Mawaziri wakiwa wamevaa jezi za timu yao ya taifa ikiwa ni namna yakufurahia kazi kubwa iliyofanywa na timu hiyo ambapo ilifanikiwa kufika fainali ya kombe la dunia nchini Urusi
Croatia ambayo imeingia katika fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia itakutana na Ufaransa katika fainali hiyo
0 comments:
Post a Comment