Friday 6 July 2018

Yemi Alade atamani kufanya Collabo na Cardi B



Diva wa muziki kutoka nchini Nigeria Yemi Alade, hivi karibuni ametokea kupendezwa na kazi  nzuri kutoka kwa mwanadada Cardi B jambo ambalo limeibua kutaka kufanya collabo nae.

Yemi Alade ambaye alitoa maoni juu ya post ya Cardi B katika mtandao wake wa Instagram kuhusu wimbo wake wa "Be Careful" kufikia mauzo ya platinum,
 

Yemi Alade aliachia pongezi zake kwa mwanadada huyo pamoja na maoni yake ya kutaka kufanya nae collabo,
 'We need to do a song soon @iamcardib Congratulation....... you keep killing em Godbless you we keep Pushing,' aliandika  Yemi Alade kupitia ukurasa wa Instagram wa Cardi B

0 comments:

Post a Comment