Friday 6 July 2018

Kizz Daniel amu 'Unfollow' mpenzi wake Chidnma.



Miezi mitatu tu baada ya wawili hao kuweka wazi mahusiano yao.

Kizz Daniel, 23, amfuta mpenzi wake Chidinma Ekile, 26, kupitia mtandao wa Instagram jambo ambalo limeibua maswali mengi kama bado wapo pamoja.

Ukiangalia ukurasa wa Kizz Daniel unaonyesha kuwa anafuata watu 27 tu kwenye Instagram na Chidinma sio mmoja wao, wakati Chidinma amefuata zaidi ya watu 900, na Kizz Daniel pia sio mmoja wao.

Katika moja ya machapisho yake aliyofanya hivi karibuni, Chidinma aliwashauri watu wasiangalie simu za wapenzi wao hasa kama mpenzi huyo ni mzuri sana kwa kuwa hawawezi kushindana na kile ambacho kinaweza.kutokea.
.

0 comments:

Post a Comment