Monday 27 August 2018

Birdman amuomba msamaha Lil Wayne.


Siku ya jana kulikua na Lil WeezyAna Fest huko New Orleans katika ukumbi wa Champions Square ambapo Lil Wayne alikua akishereheka miaka 10 tangu alipoachia album ya "Carter III", akisindikizwa na Jeezy, Youngboy Never Broke Again, na Tory Lanez katika performance.
.
.
Lil Wayne alifanya surprise kwa mashabiki wake kwa kumpandisha Nicki Minaj jukwaani, Nicki alipiga verse 2 kutoka kwenye single ya "Fefe" na "Big Bank" ya Yg, kisha kufunguka machache kuhusu Lil Wayne
.
“I want to show love for this man who gave me my career single-handedly” alisema Nicki
.
Nicki alimalizia kwa kusema “Who wants me to give Lil Wayne some babies?” kisha kuendelea na performance.

Tukio kubwa ambalo liliteka kila mtu ni baada ya Birdman kupanda jukwaani na kuomba msamaha kwa Lil Wayne kwa yote yaliyowahi kutokea nyuma.
.
“It feels amazing to be home fucking with my son, I love that nigga to death. I don’t know what y’all know but I know what the fuck I know and I know how I feel about what I know,” alisema Birdman
.
.
Birdman aliongeza kwa kusema
.
“I knew this day was gonna come but I ain’t know when it was gonna come. But this nigga right here? The best nigga, the realest nigga, the illest nigga. And I wanted to apologize to my nigga worldwide. That nigga put his life in my hands.”
.
.
June mwaka huu Lil Wayne alimalizana na Cash Money kwa kupokea kiasi cha $10 million. Birdman baada ya kuomba radhi aliendelea kuongea na kufunguka
.
“We’re gonna do this shit till the day we die before Lil Wayne launched into the Big Tymers’ “Still Fly.” alisema Birdman.


.
Blogged by Raymond Castor

0 comments:

Post a Comment