Monday, 27 August 2018

Kufanya matembezi kwa wenza kwaimarisha mahusiano



Watafiti wa masuala ya mahusiano wanashauri kuwa ni vyema kwa Watu waliokwenye mahusiano(wapenzi) kujiwekea utaratibu wa kufanya matembezi ya jioni pamoja

Matembezi haya si ya kutumia usafiri na inashauriwa yasiwe ya umbali mrefu wala kwenye maeneo yenye watu wengi

Inaelezwa utaratibu huu husaidia kukuza upendo na husaidia kufahamiana zaidi kwa wanandoa au wapenzi wapya.

0 comments:

Post a Comment