Monday 6 August 2018

Drones yatumika kuharibu mkutano wa Rais wa Venezuela



  Rais Nicolás Maduro anusurika katika jaribio la kuuawa wakati akihutubia taifa hilo

Jaribio hilo lililojeruhi Wanajeshi 7 lilitekelezwa kwa kutumia kifaa kidogo kinachoruka angani 'Drone'

Waziri wa Habari wa Venezuela, amesema kuwa kifaa hicho lilijazwa milipuko na kililenga kumshambulia Rais Maduro
-
Televevisheni ya taifa hilo iliyokuwa ikirusha matangazo ya hotuba hiyo alilazimika kukatisha matangazo wakati wa shambulio hilo

0 comments:

Post a Comment