Monday 6 August 2018

Afungwa mdomo akisomewa Hukumu



Jaji aamuru mshitakiwa kufungwa mdomo wakati akisomewa hukumu

Tukio hili lililoibua hisia kali za wanaharakati wa haki za watu weusi lilitokea katika Mahakama moja huko Cleveland -
Mshitakiwa Franklyn Williams mwenye umri wa miaka 32 alikuwa akiongea wakati Jaji John Russo akisoma hukumu. Alionywa kuhusu kitendo hicho lakini hakutii

Mshakiwa huyo alinukuliwa akisema kuwa "Jaji unayachukua maisha yangu, lakini kuna mambo hayako sawa"

Jaji Russo amesema alichukua hatua hiyo baada ya mshtakiwa kudharau amri na maelekezo ya Mahakama

0 comments:

Post a Comment