Tuesday 14 August 2018

Justine Beiber,Hailey 'raha kwanza ndoa baadae'


Watu wa karibu na wawili hao wameuambia mtandao wa TMZ kuwa, hawana mpango wa kufunga ndoa mwaka huu, na wamepanga kufanya hivyo mwaka ujao.

Kikubwa kilichoelezwa ni kuwa wawili hao wanafuraha kwa hatua kubwa waliofikia kwa sasa yaani uchumba.

Bieber anazidi kuwaweka njia panda mashabiki kwa kauli yake ya wiki chache zilizopita, ambapo aliulizwa kinachofuata baada ya uchumba ni nini? Alijibu NDOA! na hatatoa wimbo wowote mpaka afunge ndoa.

0 comments:

Post a Comment