Monday 27 August 2018

REST IN PEACE JOHN MCCAIN


Aliyekua shujaa wa vita ya Vietnam na baadae akahamia kwenye siasa na kugombania uraisi wa USA, Senator John McCain amefariki akiwa na umri wa miaka 81 akiwa nyumbani amezungukwa na familia yake. John McCain alikua akisumbuliwa na brain tumour kwa muda mrefu.

Mwaka 2008 McCain aligombea uraisi wa USA kupitia chama cha Republican na kuwa mpinzani wa Barack Obama katika uchaguzi mkuu wa USA.

0 comments:

Post a Comment