Sunday 26 August 2018

Hivi ndio vikosi bora vya kijeshi Duniani



Shirika la World Economic Forum limetoa orodha ya nchi 137 katika viwango vya ubora wa huduma za Vikosi vya Majeshi ya Polisi duniani
-
Orodha hii imezingatia kiwango cha kuaminika na kutegemewa
-
Nchi ya Finland imeshika nafasi ya kwanza ulimwenguni huku Rwanda ikishika nafasi ya 13 na ya namba 1 kwa Afrika
-
Nchi nyingine za Afrika zilizofanya vyema ni Misri, Ethiopia, Afrika Kusini pamoja na Nigeria
-
Ni nchi 5 tu za Afrika ndio zimeweza kuingia katika orodha hiyo

0 comments:

Post a Comment