Wednesday 15 November 2017

Aliyekuwa Mume wa Irene Uwoya ,Ndikumana Hamad afariki Dunia



Msiba mkubwa kwa Taifa la Rwanda! Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia usiku wa kuamukia leo.

Kataut beki wa zamani wa Rayon Sports na mume wa muigizaji maarufu nchini, Irene Uwoya amefariki dunia baada ya kuugua ghafla.

Taarifa kutoka Kigali, Rwanda zinaeleza Kataut alikuwa mazoezini jana asubuhi.

Wakati anapoteza maisha, Kataut alikuwa kocha msaidizi wa kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.

Mara ya mwisho, Kataut aliichezea Stand United ya Shinyanga wakati akitokea Cyprus

0 comments:

Post a Comment