Sahar Tabar kutoka nchini Iran awa gumzo duniani na mwonekano wake.
Sahar mshabiki mkubwa wa muigizaji Angelina Jolie kutoka Marekani, amefanyiwa upasuaji wa sura mara 50 ili aweze Kufanana na Angelina Jolie.
Sahar Tabar mwonekano wa zamani
Sahar amesema lengo lake kwenye maisha ni kufanana tu na Angelina Jolie na mpaka sasa amepoteza zaidi ya kilo 40 ili kutimiza lengo lake.
Sahar bado yupo kwenye msimamo wake wa kufanana na Angelina Jolie na ataendelea na upasuaji mpaka atakapokuwa na mwonekano anaoupenda.

0 comments:
Post a Comment