Thursday 30 November 2017

RAISI AMKINGIA KIFUA WIZKID

Raisi Mstaafu wa Nigeria Goodluck Johnathan ampongeza msanii Wizkid baada ya kuibuka mshindi na kuchukua tuzo ya Mobo katika kipengele cha "Best International Act" mbele ya Drake na Jay Z.



Uliibuka mjadala mkali mitandaoni jana nchi humo ukiingiliwa na viongozi na wadau mbalimbali wa burudani nchi humo kuhusu nani mkali Kati ya Wizkid na Davido.



Davido alichukua tuzo ya Mobo kama msanii bora Afrika huku Wizkid akichukua tuzo ya Mobo kama msanii bora kimataifa.

0 comments:

Post a Comment