Asilimia ya wapiga picha na hata wateja wao wanapenda kupig picha sehemu yenye mvuto basi leo serikali imetoa utaratibu maalum kwwa wwale watakaopendezwa kupiga picha katika daraja la Nyerere.
Kwa
sasa watu wanaokwenda kupiga picha katika daraja hilo watalazimika
kulipia gharama kwa ajili ya usalama wa watumiaji wa barabara, fedha
zinazokusanywa, wapiga picha wenyewe pamoja na kuondoa usumbufu unaoweza
kujitokeza.
Kaimu meneja mahusiano wa NSSF Salim Khalfan Kimaro, amesema Serikali imetoa utaratibu huo maalumu ambao watu wanaotaka huduma ya picha katika daraja hilo watautumia, ambapo pia amesema uamzi huo umezingatia suala zima la kulinda miundombinu ya daraja hilo pamoja na usalama wa raia wenyewe..
Gharama za upigaji picha kwa matukio maalumu (harusi, kwaya, wasanii) ni Tsh 250,000 kwa saa moja. Wanaopiga picha moja moja (selfie) hawatolipa, lakini wametakiwa kuchukua tahadhari ya usalama wao.
Aidha wapiga picha watalazimikakuomba kibali kwenye Ofisi Mkurugenzi Mkuu ambapo pia watapatiwa maelezo ya kufuata.
Kwa
sasa watu wanaokwenda kupiga picha katika daraja hilo watalazimika
kulipia gharama kwa ajili ya usalama wa watumiaji wa barabara, fedha
zinazokusanywa, wapiga picha wenyewe pamoja na kuondoa usumbufu unaoweza
kujitokeza.Kaimu meneja mahusiano wa NSSF Salim Khalfan Kimaro, amesema Serikali imetoa utaratibu huo maalumu ambao watu wanaotaka huduma ya picha katika daraja hilo watautumia, ambapo pia amesema uamzi huo umezingatia suala zima la kulinda miundombinu ya daraja hilo pamoja na usalama wa raia wenyewe..
Gharama za upigaji picha kwa matukio maalumu (harusi, kwaya, wasanii) ni Tsh 250,000 kwa saa moja. Wanaopiga picha moja moja (selfie) hawatolipa, lakini wametakiwa kuchukua tahadhari ya usalama wao.
Aidha wapiga picha watalazimikakuomba kibali kwenye Ofisi Mkurugenzi Mkuu ambapo pia watapatiwa maelezo ya kufuata.
0 comments:
Post a Comment