Monday 6 November 2017

Jarida lasimulia maisha ya Pantoranking




Msanii kutoka nchini Nigeria anayetamba na kibao cha 'love you die' alichomshirikisha msanii wa Bongo Diamond Platnumz  leo ameingia katika historia baada ya jarida maarufu kutoka nchini Nigeria la Guardian kumuweka kama mtu wa hamasisho ndani ya kipengere cha Life.
Katika kipengele hicho Pantoranking ameelezea maisha yake kipindi chote cha kutafuta umaarufu Patoranking pia amezungumzia maisha aliyokulia Ebute Metta pamoja na jina lake aliloliamini kabla ya mafanikio. .
Patoranking, ambaye jina lake halisi ni Patrick Nnaemeka Okorie, msanii wa muziki na muandishi wa mashairi anayefanya muziki wa reggae na dancehall uliochanganywa na twist ya Nigeria amezungumzia mambo kadhaa yanayomuhusu yeye kupitia jarida hilo liliotoka hapo jana.

0 comments:

Post a Comment