Saturday 11 November 2017

Jidenna ameachia albamu yake mpya ya ‘Boomerang’



Albamu hiyo yenye jumla ya  ngoma tano ndani yake ikiwemo Decibels, Boomerang, Spy Candy, Bambi Too na Little Bit More.
Msanii huyo wa Marekani ambaye pia ana asili ya nchini Nigeria, amefanya hivyo ikiwa ni miezi tisa imepita tangu alipoachia albamu yake mpya iitwayo ‘The Chief’.
Katika EP hiyo Jidenna amewashirikisha wasanii wa Marekani na wengine kutoka Afrika akiwemo Quavo, Tiwa Savage, Malek Berry, Sarkodie na Burna Boy. Kwa sasa EP hiyo imeanza kuuzwa kupitia mtandao wa Apple Music.

0 comments:

Post a Comment