Sunday 5 November 2017

Kasuku wanaotafuna nyaya za mtandao Australia

A cockatoo gnawing on a wire fence


Kasuku wanaotafuna nyaya za mtandao Australia Mtandao wa thamani ya mabilioni ya dola nchini Australia uko kwenye hatari kutokana na uharibifu unaosababishwa na ndege aia ya kasuku. Kampuni ya mtandao ya taifa (NBN) inasema kuwa imetumia maelfu ya dola kukarabati nyaya zilizotafunwa na kasuku. Mtandao nchini Austalia mara nyingi imekosolewa kwa kasi ya chini na kuorodheshwa nanba 50 kote duniani Kasuku atamka maneno ya mwisho ya mwanamme aliyeuwawa na mkewe NBN inakadiria kuwa huenda gharama hiyo ikapanga wakati uchunguzi zaidi ukifanywa. Inaripotiwa kuwa rangi ya nyaya hizo huenda zimevutia kasuku kuzitafuta.

0 comments:

Post a Comment