Saturday 25 November 2017

"Kifo cha Mama kimesababisha anguko la P-square"-Peter asema



Peter Okoye  Peter Okoye

Msanii kutoka nchini Nigeria Peter Okoye ambaye ni mmoja wa kundi lililovunjika la  P-Square amedai kuwa kifo cha mama yao ndicho kilichowafanya yeye na kaka yake kutengana katika mziki.

Akizungumza na radio ya inspiration 92.3 FM nchini humo kuhusu kurudi kwake katika kundi llililowahusisha wanafamilia watatu akiwemo Jude na Paul asema kuwa hamchukii mto yoyote sema hawezi kukubali kundi la P square aaliwezi kurudi tena.

“Sio kuimba pamoja ndio itakuwa suluisho bali je tunaishi kwa upendo mimi kwangu sina tatizo na yeyote  bali nataka tuendelee kuwa familia lakini kuhusu kuimba hapana haitowezekana,

“Kila mtu sasa hivi anafanya vizuri  tuliache kama lilivyo kwa upande wangu naona kuimba peke yangu ili mashabiki wasidhani kama sifanyi chcochote, kusema kweli kuondoka kwa mama nayo imesababisha anguko letu kwani angekuwepo leo nadhani angetuambia tuendelee kuwa  pamoja,".
alisema.

0 comments:

Post a Comment