Saturday 25 November 2017

Kenyatta amkaribisha Odinga katika siku ya kuapishwa kwake J'nne


 

Rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta amemkaribisha hasimu wake katika siasa na kiongozi wa muungano NASA Raila Odinga na wagombea wengine sita katika uaapishwaaji siku ya jumanne tarehe 28 mwezi huu.

Sherehe hiyo itakayofanyika katika viwanja vya Kasarani jijini Nairobi
NASA ambao wameshinikiza kumuapisha Odinga huku bado chama cha jubilee wakiwa wamejianga shughuli za kumuapisha Kenyatta jambo ambalo wamelikataa kutokana na kutokupendezwa na uchaguzi wa marudio ulivyofanyika.

0 comments:

Post a Comment