Sunday 5 November 2017

Mjue kinyozi maarufu anayewanyoa mastaa wa mpira Uingereza


Vinyozi wengi upendelea kunyoa watu tofauti hasa maarufu basi kijana marufu kutoka nchini Uingereza Ahmed Alsanawi ameshjinyakulia na imekuwa vigumu kutompata  kwasababu ya umaarufu wake katika kuwapendezesha watu hasa kwenye eneo la kichwa,Jamaa huyo mwenye asili ya Kiarabu amekuwa maarufu kwasababu ya uwezo wake wa matumizi mazuri ya mkono wake na ubunifu wake wa kutumia mashine ya kunyolea na ndio sababu iliyo mpa umaarufu kwa kuwa mpaka sasa ameshanyoa wachezaji wengi wanaocheza ligi kuu England.
Ahmed Alsanawi ameweka rekodi ya kuwa kinyozi aliyewanyoa mastaa wengi wa soka nchini humo,Na baadhi ya wanamichezo ni hawa hapa
 
Image result for Ahmed alsanawi
.







0 comments:

Post a Comment