Wednesday 15 November 2017

Davido atangaza kuleta ngoma mpya siku yake ya kuzaliwa




Msanii kutoka nchini Nigeria Davido ambaye kwasasa anatamba na kibao cha FIA kupitia ukurasa wake wa Twitter ametangaza ujio wa ngoma mpya itakayokwenda kana 'LIKE DAT' ambayo ataaitambulisha siku yaa kuzaliwa kwake mwezi Novemba tarehe 25 ambapo atakuwa anatimiza miaka  25.
 New Music out on my Birthday!! #LIKEDAT 
— Davido (@iam_Davido) November 15, 2017


0 comments:

Post a Comment