Thursday 23 November 2017

Nyimbo ya Sauti Sol na Pantoranking (Melanin) yaingia matatizoni Kenya


Mkurugenzi wa Bodi inayojishughulisha na viwango vya filamu nchini Kenya  Ezekiel Mutua ameonesha kusikitishwa kwake juu ya kundi la muziki la Sauti sol kuachia video ya nyimbo yao ya Melanin ambaayo imekuwa na maudhui yasiyokuwa ya kikenya katika nyimbo hiyo waliomshirikisha msanii kutoka nchini Nigeria Patoranking.

Mr Mutua ametishia kufungua nyimbo hiyo ambayo inaonesha video zisizokuwa na maadili “Kenya’s moral policeman
  Poster for Melanin by Sauti Sol ft Patoranking (Courtesy)Akizungumza katika kipindi ndani ya Televisheni ya Citizen nchini humo alionesha kusikitishwa kwake na namna ya kufanya ili kupata mstakabali 
Aliongeza kuwa atafikisha kesi hiyo kwa wataalamu wa viwango nchini humo hili kuliangalia  kwa undani kama kuna jambo la kurekebishika juu ya nyimbo hiyo ya Sauti sol.


 Savara na  Patoranking 

  Models katika nyimbo ya Sauti Sol's Video Melanin 

0 comments:

Post a Comment