Wednesday 8 November 2017

Rapper Tayga aanda 'Birthday' ya kipekee


 

Rapper kutoka nchini Marekani Tyga au unaweza kumuita Kinggoldchains amekuja na style ya kipeke yake ya kusherekea siku yake ya kizaliwa tofauti na mastaa wengine kote Duniani.

Tyga ameamua kuandaa kitu kinachoitwa Birthday Tour na kuzunguka katika nchi sita duniani na kusherekea Siku hiyo muhimu na mashabiki wake.
Moja katika ya sehemu atakazo pitia ni,  FIRENZE+ LONDON + MILAN+ DUBAI + PARIS na atamalizia MIAMI.

0 comments:

Post a Comment