Monday 27 November 2017

Prince Harry amvesha pete mrembo Meghan Markle

Prince Harry amvesha pete mrembo Meghan Markle

Prince Harry mtoto wa malkia Diana wa Wales aweka rasmi mahusiano yake na muigizaji wa filamu marekani Meghan Markle baada ya kumvisha Pete mrembo huyo.


Meghan Markle atakua mwanamke wa kwanza mweusi Duniani kuolewa na familia ya kifalme ya Uingeleza toka Dunia ilivyoumbwa na mwenyezi Mungu.

Kumekua na mitazamo tofauti mitandaoni ikiendelea watu wakiwa bado hawaamini Kama ni kweli wawili hao watafunga ndoa mwakani na hatimaye ufalme wa uingeleza kupata mtoto mweusi kutokana na kuwepo kwa ubaguzi wa rangi katika ufalme huo.

0 comments:

Post a Comment