Sunday 10 December 2017

Binadamu kazaa Nguva nchini India

Mama ajifungua mtoto mwenye mwonekano wa nguva



Muskura Bibi mwenye umri wa miaka 23 nchini India ameshangaza madaktari nchini humo baada ya kuzaa mtoto anaefanana na samaki nguva hospital ya Chittaranjan Deva Sadan, Kolkata India . Mtoto huyo walishindwa kutambua
 jinsia yake kwa masaa 4.


Hii ni Mara ya pili nchini India kuzaliwa mtoto wa aina hiyo na pia ni mara ya 59 duniani kuzaliwa kwa mtoto wa aina hiyo.

0 comments:

Post a Comment