Enrique Iglesias akaribisha watoto mapacha baada ya kukaa miaka 16 kwenye mahusiano na Anna Kournikova bila mtoto.
Enrique Iglesias na Anna Kournikova wamepata watoto mapacha wa kike na wakiume na tayari mapacha hao wamepewa majina Nicholas & Lucy.
Enrique na Anna walianza mahusiano yao mwaka 2001 na bado mpaka leo hawajafunga ndoa.

0 comments:
Post a Comment