Wednesday 27 December 2017

George Weah rais mpya Liberia



Mwanasoka bora wa zamani wa dunia na mwanasiasa , George Weah ameshinda kiti cha uraisi wa Liberia huku akimwacha mpinzani wake Joseph Boakai kwa kushinda katika majimbo 13 ndani ya nchi hiyo.
kabla ya kuingia katika siasa  George Weah alishawahi kunyakua tuzo tofauti akiwa bado anacheza mpira .
African Footballer of the (1989, 94, 95)
UEFA Champions League Top Scorer: 1994 – 15
1995 Ballon d’Or winner, FIFA World Player of the Year: 1995
1996 FIFA Fair Play Award
IFFHS African Player of the Century: 1996






0 comments:

Post a Comment