Golden State Warriors wameendelea kuonesha ubabe katika ligi ya kikapu nchini Marekani baada ya kuinyuka timu ya Cleveland Cavaliers kwa alama 99-92 katika mechi iliyokuwa ngumu kwa pande zote.
Cleveland walifanikiwa kuongoza robo ya kwanza kwa 28-24 jambo
lililotafsiriwa kuwa huenda ubabe umerejea, lakini mambo yalibadilika
katika robo zingine tatu zilizosalia kulikoshuhudiwa Warriors
wakiongoza.
Nyota waliopeleka maumivu makali kwa Cleveland ni Stephen Curry, Klay Thompson, Draymmond Green na Kevin Durant ambao kwa pamoja walipata alama 89.
Jitihada za Lebron James kuisukuma timu yake kufanya vizuri, pamja na alama nyingi alizopata bado hakuzuia Warriors kuwaadhibu.

0 comments:
Post a Comment