Monday 25 December 2017

Hatimaye ndoto ya Mc Pilipili kuchekesha Churchhill yatimia-VIDEO



 Mchekeshaji wa Tanzania MC Pilipili kupata nafasi ya kupanda kwenye stage ya Churchill Show Kenya imekuwa moja kati ya ndoto zake zilizotimia hasa katika kufanya uchekeshaji katika moja ya kumbi kubwa yenye kundi lenye wachekeshaji wa kimataifa la Churchhill kutoka nchini kenya ambalo huwa linafanya Stand Up Comedy.
TAZAMA VIDEO.

0 comments:

Post a Comment