Saturday 9 December 2017

Khaligraph aingia stejini akiwa kwenye Jeneza



Mwanamuziki kutoka nchini Kenya awa gumzo baada ya kuingia na style ya kivyake katika moja ya onesho la Uhuru Garden Concert lililofanyika jijini Nairobi usiku wa kuamkia leo.
Msanii huyo ambaye aliingia jukwaani kiwa ndani ya jeneza jeupe huku watu nane wakiwa mmelibeba jeneza hilo jambo ambalo liliwashtusha mashabiki na kufanya kuwa la kipekee.

0 comments:

Post a Comment