Tuesday, 19 December 2017

Kiatu kipya cha Kanye West chauzwa Mil.2



Rapa kutoka nchini Marekani Kanye West ametambulisha kiatu kipya kutoka kwenye kampuni yake ya mavazi ya Yeezy.

Kanye West ameonekana kwa mara ya kwanza akiwa amevalia raba aina ya Yeezy 700 Nyeupe na Grey kwa mbali, Viatu hivi bado havijaingia sokoni, anavaa yeye kwanza.
Mtindo wa kwanza wa toleo hili la Yeezy Wave Runner 700 ulitoka August 2017 na viliuzwa vyote ndani ya dakika chache baada ya kuingia madukani na kupanda beio kutoka dola 300 mpaka kufikia dola 900 ambazo ni sawa na milioni 2 za kitanzania.

0 comments:

Post a Comment