Tuesday 26 December 2017

Lil Wayne aachia listi ya nyimbo katika albamu yake ya Dedication 6


Msanii wa rap kutoka nchini Marekani Lil Wayne Kupitia mtandao wake wa twitter kuandika hii inaenda kuwa Christmas nzuri huku aki hashtag Dedication 6, na Young Money, lakini pia kupitia post hiyo Lil Wayne amepost picha ikionyesha listi kamili za nyimbo ambazo zitakuwa katika albam hiyo.
Ndani ya Dedication 6 wasanii wengi kutoka Young money wamepata nafasi katika kuimba wasanii kama  Euro, Cory Gunz, Gudda Gudda na wengine wengi bila kumsahau Nicki Minaj.

0 comments:

Post a Comment