Thursday 14 December 2017

Nyimbo ya Ed Sheeran, Beyonce yaongoza kwenye chati Billboard



Wanamuziki waliofanya moja ya Colabo iliyotokea kukubalika  Ed Sheeran na Beyoncé “Perfect Duet” imefanikiwa kuongoza na kuwa namba moja na kuifanya ngoma iliyokuwa inashikilia namba ya moja  Post Malone Ft 21 Savage ‘rockstar” kushuka kwenye nafasi ya kwanza ya Billboard Hot 100.



0 comments:

Post a Comment