Mwanasoka mashuhuri wa Real Madrid Cristiano Ronaldo kuelekea mchezo wao wa El Clasico dhidi ya FC Barcelona watakaoucheza siku ya Jumamosi December 23 2017, amewataka wapinzani wao FC Barcelona kuwawekea Real Madrid 'Guard of Honour ' yaani heshima pind wanapoingia uwanjani kutokana tu na kutwaa ubingwa wa klabu Bingwa Duniani.
Shauri hilo limeonekana kupingwa vikali na mkurugenzi wa Barcelona Guillermo Amor ambapo amelikataa ombi hilo na kudai kuwa sio sheria na timu yake haitoweza kufanya jamo kama hilo.

“Itakuwa vizuri na ningependa kuona Barcelona wanatuwekea guard of honour kwa heshima ya kuwa mabingwa”Ronaldo

0 comments:
Post a Comment