Saturday 30 December 2017

Snoop Dogg kuja na Gospel 2018

Mwanamuziki mwenye miondoko ya rap kutoka nchini Marekani Snoop Dogg ambaye amekuwa kwenye muziki Hip hop na RnB kwa takriban miaka 20.katika kipindi kijacho yaani mwaka 2018 anataka kutoa mziki mpya wenye miondoko ya  Gospel.

Akizungumza na Billboard Snoop amesema: “Nimekuwa nikitaka kujaribu kufanya muziki wa injili. Hii inaweza kushangaza watu wengi lakini mbali na yote mimi napenda kusema niko tayari kwa ajili ya maisha mapya ya muziki katika mwaka mpya wa 2018!” 


0 comments:

Post a Comment