Saturday 30 December 2017

Zilizoshika nafasi ya juu Chati Billiboard,Eminem aongoza na 'Revival'

 

Album mpya ya mwanamuziki wa hiphop kutoka nchini Marekani Eminem Revival imeshika namba moja katika chati za Biliboard na kuishusha Reputation ya Taylor Swift huku akipata mauzo zaidi ya kopi 267,000, hii imekuwa album ya nane ya Eminem kushika nafasi ya kwanza kwenye Billboard.

Album inawasanii Beyoncé, Alicia Keys, Ed Sheeran,na Kehlani,
BILLBOARD 200 TOP 10
1. Eminem – Revival
2. Taylor Swift – Reputation
3. G-Eazy – The Beautiful & Damned
4. Ed Sheeran – ÷
5. Pentatonix – A Pentatonix Christmas
6. Jeezy – Pressure
7. Sam Smith – The Thrill of It All
8. Luke Bryan – What Makes You Country
9. Garth Brooks – The Anthology: Part I, The First Five Years
10. Chris Stapleton – From A Room: Volume 2

0 comments:

Post a Comment