Thursday 18 January 2018

Chama cha Ushirika Kilimanjaro chaokolewa


Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaaro Anna Mghwira  asitishe uuzwaji wa mali za Chama cha Ushirika(KNCU)

Serikali yasema kuwa si vyema kuuza Mali za Chama hivyo wakati Serikali inafanya uhakiki wa Mali za vyama vya Ushirika

Chama hicho kinataka kuuza shamba lake ili kuinusuru Benki yake iliyopungukiwa mtaji

Benki hiyo ya KCBL inatakiwa kutimiza sharti la kuwa na mtaji kamili wa Bilioni 5 katika kipindi cha miezi 6

0 comments:

Post a Comment