Serikali imetoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa homa ya Chikungunya ambao umeripotiwa kutokea jijini Mombasa nchini Kenya.
Taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu imesema kuwa mpaka sasa Shirika la Afya Duniani (WHO) bado halijatoa taarifa rasmi lakini wao wanaotoa tahadhari kwa kuzingatia muingiliano mkubwa wa watu baina ya Kenya na Tanzania
Ugonjwa wa Chikungunya unasababishwa na kirusi kinachoenezwa mbu wa aina ya Aedes na tiba yake haijagunduliwa bado.

0 comments:
Post a Comment