Monday 15 January 2018

Davido,Cassper Nyovest wakutana kuandaa kollabo

 
Msanii wa muziki kutoka nchini Afrika kusini Casper Nyovest ameonekana nyumbani kwa Davido huku maswali mengi yakiwa kama wasanii hao wanatarajia kutengeneza  ngoma mpya hivi karibuni.
 
Casper yupo nyumbani kwa Davido na katika video hii anaonekana akiwa anaingiza sauti katika studio ya nyumbani ya msanii Davido.

0 comments:

Post a Comment