Wednesday 31 January 2018

Madawa ya kulevya yamrudisha DMX jela


Rapa mkongwe nchini Marekani DMX kurudishwa jela baada ya mahakama ya Manhattan jijini New York kumkuta na kosa la matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Oxycodone baada ya vipimo kuonesha kuwa bado anatumia.


Mkongwe miezi kadhaa iliyopita alishtakiwa kwa kosa la kutokulipa kodi ambapo mahakama iliamuru afungwe miaka Mitano sema kwa umakini wa wawakilishi wake aliweza kupata dhamana ambayo sasa itakuwa batili kwani mahakama imeshakwisha fanya maamuzi.




0 comments:

Post a Comment